Malengo SMART
Weka malengo 1–3 yenye kitendo, kipimo, ratiba, deadline na ushahidi.
MTC inakusaidia kuweka malengo yanayopimika, kuthibitisha utekelezaji wako kila siku na kupata uwajibikaji unaokufikisha mwisho wa challenge.
Kila hatua ina rekodi, muda, ushahidi na feedback. Coach haendelei kuwa database ya WhatsApp—mfumo unaweka ukweli wote sehemu moja.
Weka malengo 1–3 yenye kitendo, kipimo, ratiba, deadline na ushahidi.
Pakia picha, video, audio, link, receipt au reflection inayohusiana na task.
Coach au reviewer anakubali, anaomba ufafanuzi au anakataa kwa sababu iliyo wazi.
Ona completion rate, on-time rate, points, streak na kalenda yako ya siku 30.
Faini, disputes, malipo na receipts vinafuatiliwa kwenye ledger yenye historia.
Pata ripoti ya mwisho, before/after assessment na cheti chenye verification ID.
Tuma taarifa zako na subiri approval ya Coach.
Unda malengo 1–3 yanayopimika na yakubaliwe.
Fanya task, pakia ushahidi na utume kabla ya deadline.
Pokea review, fuatilia streak na pata ripoti ya mwisho.
"Mabadiliko hayatokani na nia pekee. Yanahitaji mfumo unaokufanya uwajibike."
Daniel Bilula Mussa ni life coach na motivational speaker kutoka Tanzania, radio personality, na mwanzilishi wa Mindshift Community. Anajulikana kupitia programu na vipindi vya moja kwa moja katika vituo kama Dream FM 91.3MHz.
Anza challenge yako ya siku 30 ukiwa na mfumo wa uwajibikaji.